Nandy kwa sasa yuko kwenye mahusiano na Gavana wa Mombasa?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Kila msanii anaenda Kenya kwa sasa kulikoni?

Hii ni picha ya Nandy akiwa amevaa kofia yenye jina la Gavana wa Mombasa bwana Joho.

Je, ina maana wapo kwa mahusiano? Hivi Joho si anaye mpenzi!

Ijapo haijathibitika rasmi ila Joho anapaswa aweke wazi au tumuulize rafiki yake wa karibu ambaye ni Ommy Dimpoz au hata
Kiba



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joho ana likashfa na wanasiasa wenzake wamemkalia kooni, juzi aliitisha press conference.
 
Kenya alienda kwa issue za Coke studio
 
Ukisha wauliza Omy dimpoz na Ali kiba tunaomba ulete jibu humu
 
Mlitaka nyie muendelee tu kuwala dada zao sio.. Wacha na wenu waliwe kidogo.

Tofauti tu ni kwamba mademu wa Kenya wana hela zao ndefuu...ila hawa wabongo huko wanafuata hela tu na kusambaza njaa.

Huwezi kuta manzii wa Kenya amechora tatoo ya mbongo kilofalofa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…