Nandy kwa sasa yuko kwenye mahusiano na Gavana wa Mombasa?


Si ndo hapo , yan Ndo ushamba wa mademu wa kibongo, Sasa kujivalisha kofia yake Ndo nini ? Yan anaona sifa mxieew

Hao akina Vera na huddah wanalala mpaka na marais wa Africa nchi mbali mbali na hukuti waki brag hivyo, hawa bahat za akina jackline ntuyabaliwe kuolewa na mabillionea watazionea insta , yan nandy mZuri Ila akili hana , kana mapepe sana nyota yenyewe Hana mxieew


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nandy ana hela wewe mkenya katoa zawadi ya nyumba kwa wazazi wake ..acha urofa wewe
 
Mwenye mume wake si kashapona tayari
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…