Nandy na Will Paul waanza Injili huko Kenya

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Wakenya wameapa kama watakutana na Willy Paul Mbinguni wataomba wahamishiwe motoni .

Willy Paul amekua mwimbaji wa Injili huko kenya.

Haya ndio matatizo ya kuimba Injili hata kanisa hujui lipo wapi.. nywele huchani na kujifanya mtoto wa mujini.

Nandy ni mtoto wetu mzuri huku bukoba ila hizi picha na mwimbaji wa Injili wakenya wanasema sio halisi ni za kutengeneza.
 
Futeni hii au pelekeni panapohusika huyu mleta mada kajichanganya
 
Wakenya wameapa kama watakutana na Willy Paul Mbinguni wataomba wahamishiwe motoni .
....

Nandy ni mtoto wetu mzuri huku bukoba ila hizi picha na mwimbaji wa Injili wakenya wanasema sio halisi ni za kutengeneza.

Ulijifunza wapi uandishi?
 
Asante mtoa mada hii picha ya kwanza nimeiyelewa sana. Ubarikiwe, Mungu akuzidishie ulipotoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…