Nandy ni mwanamke mwenye uwezo mkubwa kimziki

Nandy kashampita Vanessa n' that's the fact

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waleleeeeeeeeeeeeh nakojoaaaaaaaaaah yaaan huyu nandela ampite hausa kwa lipi hasa? Hebu kuwa serious khaaaaah kwa hit song gan huyo Mrs mafioso? Uwiiiiiiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambieeeeeeh hao waeleweeeeeeh, wamuache cash madame aburuze industry ya music

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Vanessa international wise kampita Nandy. Ila trust Nandy anakuja juu kwa speed ya ajabu kama hujachunguza. Na nyuma yake (management )hawa watu nawaona wako makini. Kama unavyoona anaanza east Africa taratibu but soon atafika huko. Nandy msimlinganishe na Aslay koz so far ana collabo kama mbili na wanamziki wakubwa wa Kenya. Nandy ana pambana to be honest na kwenye hii game Vanessa kamkuta so mpeni muda.
 
We kojoa tu mkingaji nitakinga.
 
Nandy miaka buku hatamfikia vee money, hata yeye analijua hiloooooh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So kufanya collabo na willy Paul ndo kufanikiwa? issue kubwa kwake nandy mziki anaofanya sio rafiki kwa international market tatizo ndio linaloanzia hapo ataishia kufanya vizuri hapa bongo lakini sio nje
 
Nandy anasurvive Kwa kik za media tuu hasa clouds , hakuna msanii pale
 
So kufanya collabo na willy Paul ndo kufanikiwa? issue kubwa kwake nandy mziki anaofanya sio rafiki kwa international market tatizo ndio linaloanzia hapo ataishia kufanya vizuri hapa bongo lakini sio nje
Upo sahihi but hatua bora ni kukamata soko la ndani kwanza ndio uende nje. True Vee ana soko la nje ila ajitahidi kukamata soko la ndani pia
 
Mambo yanabadilika sana, inawezekana mpaka leo Ali kiba haamini kama kaachwa mbali kimuziki na diamond.

Yawezekana baada ya miaka kadhaa mbele Nandy akawa Star mkubwa kuliko Vmoney.
Tofauti ya nandy na mondi ni moja diamond ukiachana kufanya mziki wa ndani anafanya mziki wa international huyo nandy Hana mziki wa international so ni ngumu kwake kumfikia Vanessa ukiondoa yeye mwenyewe kufanya vizuri tu katika soko la international ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Mambo yanabadilika sana, inawezekana mpaka leo Ali kiba haamini kama kaachwa mbali kimuziki na diamond.

Yawezekana baada ya miaka kadhaa mbele Nandy akawa Star mkubwa kuliko Vmoney.
Naona unajidanganya tyuuuh weee yaan nandy hawez kuwa juu ya vee money, kamweee haiwezkan na haitawezekana huo ndio ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…