nampa maua yake bila tone la wivu wala kijiba cha roho, huyu binti (mdada) kiukweli anaimba vizuri kiasi chake na ana nyimbo za kuimba kwenye events watu wakaburudika.
Na shape kaichonga imeikala bien π
Kikubwa kaimba vizuri kwenye miss universe grand finale