Nangwanda Lawi sijaona Mzalendo mpigania Uhuru aliyesahaulika

Nangwanda Lawi sijaona Mzalendo mpigania Uhuru aliyesahaulika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Sijali Sijaona anamzungumza baba yake.

SIJALI SIJAONA ALIPOTEMBELEA MAKTABA

Sijali Adam Sijaona mtoto wa Lawi Nangwanda Sijaona ametembelea Maktaba na tumejaliwa kufanya mazungumzo kuhusu baba yake.

Sijali amerithi hazina kubwa sana ya nyaraka na picha adim za harakati ya kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sijali ana katiba ya African Association, kadi ya African Sports na stakabadhi ya African Association vitu ambavyo hata picha hakuna.

Namshukuru Sijali kwa kukubali kufanya mazungumzo nami akimweleza baba yake Nangwanda Lawi Sijaona.

View: https://youtu.be/BooiUcmjvIU?si=vURJDkoe8bQxMnoS
 
Back
Top Bottom