Elections 2010 Nani ajaye?

Mnyalu wa Kweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
233
Reaction score
55
Nimekuwa nikijiuliza swali moja ambalo imekuwa ngumu kupata jibu. Hivi wakuu mmekuwa mkijiuliza ni nani atawakilisha CCM kwenye urais 2015? Kwa harakaharaka sijamuona maana naona kama wote ninaowafikiria wananchi hawatawakubali- Can u think of Salim Ahmed Salim, Sumaye,Membe, Dr Asha Rose Migiro or Magufuli? Or any from Zanzibar?Salim angekuwa hakuchafuliwa 2005 huenda angetoa ushindani. Hata hivyo nadhani 2015 ni Chadema tu.



Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Mh hata mimi swali hilo nimejiuliza sana, but miongoni mwa hao ulotaja hamna kitu, magufuli anafaa ubunge/uwaziri tu kwenye urais sina hakika sana lakini bora yeye kuliko hao wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…