Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 23,526 Reaction score 34,057 Jul 29, 2025 #1 Nimeulizwa swali kuhusu Siku ya Mashujaa wa Tanzania. Sikujibu swali ila nami nikauliza swali. Vipi utawaadhimisha mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika ikiwa hao mashujaa historia zao hazifahamiki hata baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru? View: https://youtu.be/q80a6DceYv8?si=BLToS_xBfDRpZXpX
Nimeulizwa swali kuhusu Siku ya Mashujaa wa Tanzania. Sikujibu swali ila nami nikauliza swali. Vipi utawaadhimisha mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika ikiwa hao mashujaa historia zao hazifahamiki hata baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru? View: https://youtu.be/q80a6DceYv8?si=BLToS_xBfDRpZXpX