Nani alaumiwe?Anko?,au demu?Naitaji ushauri

Cloudz

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
8
Reaction score
1
Nina msichana wangu fulani ametembea na anko wangu tena amemwambia iwe siri sasa anko kaniambia,je nimlaumu nani?.
 
Huyo uncle wako ana umri gani?
 
jilaumu mwenyewe.. inawezekana uncle anapiga mzigo kisawasawa na kuhonga kuliko wewe
 
Wote waliingia chumbani wakavua na kudo!Wote wa hovyo,ila huyo mwanamke wako wa hovyo zaidi,inaonekana ndo alikua director,kwanini alitaka kuficha?
 
Kwani mmeoana?

Hakuna wa kulaumiwa, wewe umerithi uzinzi kwa anko wako na machezo yako yalikuwa hafifu, binti kaamuwa aonje kwa anko, kanogewa.

Wote nyie wazinifu hamna mwenye afadhali, si wewe, si anko, si binti.
 
Pole ndugu! Kwa hali ya kawaida si rahisi mwanaume akulie vyako halafu yeye ndo aje kukwambia. Uncle kama kafanya ivo ujue kakudharau sana na anataka kumgeuza demu wake so anakuvuruga umpige chini waendelee kwa raha zao. Cha msingi nawe tafuta mdogo wake au ndugu wake karibu upige halafu nawe ukamwambie
 

haki ya nani kingmairo we chizi kweli kweli, umenifanya nicheeekeeeee
 
chukua revola, nenda bafuni, poza machungu, mengine yatafuata baada ya akili kutulia.

Story haizami akilini.
 
Uncle will always be uncle, back the chick off ila uncle deserves kuchanwa live pia.
 
Nina msichana wangu fulani ametembea na anko wangu tena amemwambia iwe siri sasa anko kaniambia,je nimlaumu nani?.

jilaumu mwenyewe kwa kutomtosheleza huyo msichana hadi akamfata anko wako
 
ukimegewa demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee!
 
Usimlaumu yoyote, cha maana wewe na uncle wako na huyo mrembo wenu fanyeni "threesome" .


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…