Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Nimekuelewa mkuuhapa ndo tunapopoteza malengo,ukishalaumu hakuna faida,lawama si mzigo,tumeona vita cuba,msumbiji,iraq,libya,yugoslavia nk
cha msingi nini tumepata km faida na hasara na tunafanyaje kupunguza hasara km vita itatokea......
maana ndo mana kuna majeshi duniani na kuna siraha.
hasara kubwa ya vita ni uchumi kudorola na vifo,marafiki na maadui kuongezeka na kupungua
faida ni kujipima nguvu na uwezo wa ki nchi kimapigano,dunia kujua misimamo yetu kidiplomasia na kisiasa,kupata washirika wa kijeshi na kimaendeleo
NB vita ni fursa ya kujipima na kujipanga.......
hahahaMatusi aliyokuwa anatukana amin lazima vita ingetokea. Alimtumia jkn ujumbe kwamba anampenda ana sura nzuri angekuwa dem angemuoa.
hahahaMatusi aliyokuwa anatukana amin lazima vita ingetokea. Alimtumia jkn ujumbe kwamba anampenda ana sura nzuri angekuwa dem angemuoa.
mkuu izt trueMatusi aliyokuwa anatukana amin lazima vita ingetokea. Alimtumia jkn ujumbe kwamba anampenda ana sura nzuri angekuwa dem angemuoa.
Kweli hiyo mkuu,nenda youtube hata idd amini mwenyewe kna video kathibitisha ,imeandikwa telegram sent by general amin to nyerere nadhanimkuu izt true