Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Alaumiwe aliouanzisha udini Tanzania. Kuna watu walikuwa wakiomba kura na kuingiza udini. Sasa matokeo ndio haya.
Wa kwanza kabisa ni NECTA. Kilichokosewa sio 'usahihishaji wa mitihani' bali namna ya kurecord na kutoa matokeo yenyewe. NECTA walipaswa ku update system zao za kukokotoa matokeo. Ni wazi sasa kuwa kuna mtu katika NECTA hakufanya kazi yake inavyostahili.Siku za hivi karibuni Mufti alimtaka Ndalichako ajiuzuru kutokana na kuwafelisha waislam, Leo Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na waislam juu ya matokeo mabaya wanayodhani yalisababishwa na Necta,Nimepitia gazeti la leo la Mwananchi limetoa matokeo yaliyofanyiwa marekebisho, kwa page zote nane zilizobeba matokeo hayo nimekutana na "A" mbili na "B" tisa tu robo tatu yake ni "F"
Sasa nashindwa kuelewa tatizo hapa liko wapi,Necta,Walimu au Wasaishaji(ambao naamini ni Waislam wenzao)?
Siku za hivi karibuni Mufti alimtaka Ndalichako ajiuzuru kutokana na kuwafelisha waislam, Leo Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na waislam juu ya matokeo mabaya wanayodhani yalisababishwa na Necta,Nimepitia gazeti la leo la Mwananchi limetoa matokeo yaliyofanyiwa marekebisho, kwa page zote nane zilizobeba matokeo hayo nimekutana na "A" mbili na "B" tisa tu robo tatu yake ni "F"
Sasa nashindwa kuelewa tatizo hapa liko wapi,Necta,Walimu au Wasaishaji(ambao naamini ni Waislam wenzao)?
Who told you remained the same?Sijakuelewa, yaani after correction zimepatikana A mbili na B tisa tu, the rest remains the same?