Hallo Wanajamii!
Kuna kitu huwa najiuliza mara nyingi
-Wakati Wa FUMANIZI Tuseme umemfumania mke/mme wako Au tuseme tu Girl/Boyfriend kuna kitu huwa nashangaa: Kwa nini mgoni ndiye huwa anashambuliwa na wakati mwingine anasababishiwa hata ulemavu wa kudumu au kifo? Ja Ni nani wa kulaumiwa/mwenye makosa?? Mgoni au Mwandani wako????
Tulijadili jameni maana Duniani kote hali ni kama moja!
wote ni wakulaumiwa
...Nooooooooo!!! wakulaumiwa wewe mwanadada.Kama unajua wewe una mume au boyfriend wako kwa nini ukitongozwa usikatae. We ni mtu mzima na una akili timamu. Kumbuka mwanamke akitembea njiani ukiacha wale wenye engagement rings au pete ya ndoa wengine wapo wapo tu. Kwa hiyo kama mimi inatokea kumfumania demu wangu wakumpa kichapo ni demu jamaa hana hatia kabisa na kumbuka kutongozwa ni jambo moja na kuliwa uroda ni jamboo lingine!! Upo???wote ni wakulaumiwa
Mwenye makosa ni mgoni wako. Mwandani wako anakuwa ameleghaiwa na akalainika. Kama huyo panya anavyoifanyia mouse kwenye avatar yako, nani mwenye makosa hapo?
...Nooooooooo!!! wakulaumiwa wewe mwanadada.Kama unajua wewe una mume au boyfriend wako kwa nini ukitongozwa usikatae. We ni mtu mzima na una akili timamu. Kumbuka mwanamke akitembea njiani ukiacha wale wenye engagement rings au pete ya ndoa wengine wapo wapo tu. Kwa hiyo kama mimi inatokea kumfumania demu wangu wakumpa kichapo ni demu jamaa hana hatia kabisa na kumbuka kutongozwa ni jambo moja na kuliwa uroda ni jamboo lingine!! Upo???
Wa kulaumiwa ni mwenzio and thats it. hakuna cha kulaghaiwa, sometimes hata wewe mwenyewe ni wa kulaumiwa, unaweza kuwa sababu ya mwenzio kucheat, so before uanze kurusha makonde jipime contribution yako kwa yeye kucheat
mie nikimfumania mr mgoni hanihusu hata kidogo, yule katongozwa tu na aliemtongoza ni mr....mbona atashaa!
kabisa...kabisa!