Nani alianzisha mavazi

Jahom

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2008
Posts
351
Reaction score
32
Suruali/kaptura kwa wanaume, sketi kwa wanawake (kabla ya mambo ya sasa ya haki sawa hasa kwa wanawake dhidi ya wanaume)
 
Adam na Hawa,baada ya kula lile tunda waligundua kuwa wako uchi ndio wakaanza kujifunika na majani sehem za siri,from there imekuwa ni evolution tu yaani mwendelezo wa nini na jinsi ya kuvaa.kutokana na mazingira(hali ya hewa),culture etc kuna jamii hadi leo wanavaa majani au magome ya miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…