Nani alianzisha utaratibu wa kuuza Biriani siku ya Ijumaa na Jumapili tu?

Nani alianzisha utaratibu wa kuuza Biriani siku ya Ijumaa na Jumapili tu?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Nimeona siku hizi hii kitu ikitrend, wauzaji wa vyakula hapa mjini wanauza chakula aina ya Biriani siku ya Ijumaa na Jumapili tu.

Je, ni nani alianzisha huu utaratibu? Kwanini Biriani haliuzwi siku nyinginezo?
 
Actually ni siku maalum za kuabudu(japo ibada ni kila siku)lakini tunachukulia ule muunganiko wa ndugu,jamaa na marafiki baada ya ibada ndio wakabuni sehemu ya kwenda kupata chakula kwa pamoja ukizingatia ni weekend kwa mfano..huku pwani baada ya swala ya ijumaa tu tunapata zetu biriani..na jumapili hali kadhalika.
 
haya mambo ya mipangilio ya vyakula ni changanya kichwa kidogo, mi mwenyewe nimekuwa nikijiuliza ni nani huyo ambaye alikataza kunywa chai na ugali asubuhi?
Chai na ugali tamu hiyo.
 
Back
Top Bottom