Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
haya mambo ya mipangilio ya vyakula ni changanya kichwa kidogo, mi mwenyewe nimekuwa nikijiuliza ni nani huyo ambaye alikataza kunywa chai na ugali asubuhi?
Nimeona siku hizi hii kitu ikitrend, wauzaji wa vyakula hapa mjini, wanauza chakula aina ya Biriani siku ya Ijumaa na Jumapili tu. Je ni nani alianzisha huu utaratibu? Kwanini Biriani haliuzwi siku nyinginezo?
labda huko darisalama ndiyo hamuwezi kunywa chai na ugali asubuhihaya mambo ya mipangilio ya vyakula ni changanya kichwa kidogo, mi mwenyewe nimekuwa nikijiuliza ni nani huyo ambaye alikataza kunywa chai na ugali asubuhi?
Ile foleni ya pale Morocco siku ya Ijumaa huwa inanichekesha sana.
Mrangi.....mzee wa Ova huwa hakosekani pale!
Chai na ugali tamu hiyo.haya mambo ya mipangilio ya vyakula ni changanya kichwa kidogo, mi mwenyewe nimekuwa nikijiuliza ni nani huyo ambaye alikataza kunywa chai na ugali asubuhi?