Nani aliasisi jina "Mwendazake"

Nadhani hili jina pia lina muhusu mtu ambaye amefariki bila kutimiza ndoto zake

Kama kuna logic hivi!
 
Wakenya hao Marehemu ndio aitwa hivyo.
nilishasikia huko kenya hata viongozi walioko madarakani mnawaita HAYATI mfano wabunge au magavana!sijui ni kweli au ni zamani ndio waliita hivyo na sio siku hizi??!!
mfano hayati ruto au hayati sonko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…