Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemea na misingi ya imani na dini ya wanandoa, kwetu wakatoliki hakuna talaka labda muamue wenyewe lakini kwamba mmekwenda kwa padre ili aitenganishe ndoa kazi ipo. Lakini best kitu muhimu ni kuchunguzana kwa muda wa kutosha kabla ya kuoana ili kama kuna mashimo muweze kuyafunika na mkiamua kufunga ndoa basi idumu. Tatizo la vijana na hata wazee wanaoamua kuoana ndo hivyo yuko kwenye safari zake toka ubungo to manzese, kafika barabara ya shekilango kapanda binti na kukaa siti moja, wamebadilishana namba za simu, hii ni jumatatu na ijumaa ndani ya wiki hiyo hiyo wanatangaza ndoa sasa mkubwa mtadumu kweli?
Back kwenye swali, talaka imeanzishwa na mwanadamu mwenyewe, ile ya agano la kale musa aliruhusu kwa sababu ya mashinikizo ya wenye mioyo migumu ndo maana our lord jesus alisema anayemtaliki mkewe na kuoa mwingine azini na yule anayemuoa aliyetalikiwa azini.
mbona sijakuelewa unasema talaka nzuri tatizo kuvunja ndoa
so talaka inatolewa wanapojenga ndoa ama??
ni tabia ya mtu tuu hakuna lolote, kwa sisi wakristo no talaka,
Inategemea na misingi ya imani na dini ya wanandoa, kwetu wakatoliki hakuna talaka labda muamue wenyewe lakini kwamba mmekwenda kwa Padre ili aitenganishe ndoa kazi ipo. Lakini best kitu muhimu ni kuchunguzana kwa muda wa kutosha kabla ya kuoana ili kama kuna mashimo muweze kuyafunika na mkiamua kufunga ndoa basi idumu. Tatizo la vijana na hata wazee wanaoamua kuoana ndo hivyo yuko kwenye safari zake toka Ubungo to Manzese, kafika barabara ya Shekilango kapanda binti na kukaa siti moja, wamebadilishana namba za simu, hii ni jumatatu na ijumaa ndani ya wiki hiyo hiyo wanatangaza ndoa sasa mkubwa mtadumu kweli?
Back kwenye swali, talaka imeanzishwa na mwanadamu mwenyewe, ile ya agano la kale Musa aliruhusu kwa sababu ya mashinikizo ya wenye mioyo migumu ndo maana our lord Jesus alisema anayemtaliki mkewe na kuoa mwingine azini na yule anayemuoa aliyetalikiwa azini.
kweli best ila tatio si muda wapo waliokaa miaka mitano uchumba wakaachana miez 3 awa awakuchunguzana m mpaka nasema labda kabla ya kuaoan wapewe mida ya miezi mitatu kukaa pamoja wachunguzane lakini si kujuana ndan ya ndoa nina uhakika wakikaa kabla kwa muda wanazimudu kabisa samahan sijaidhinisha mzini ila mwaweza kaa ndani bila kufanya lolote mkichunguzana kila mtu kitanda chake kama chumba kimoja mmoja alale chini kwa muda litalipuka tu kama kuna tatizo lakini haya ya kuingia ndani miezi miwiliunajuta ndio huyyuu sio
mbona sijakuelewa unasema talaka nzuri tatizo kuvunja ndoa
so talaka inatolewa wanapojenga ndoa ama??
mkuu nimemwelewa vzuri sana hope ukirudia tena utamwelewa ila kifupi ni kwamba mpaka mnakwenda mahakamani kudai talaka ni kwamba nyie wawili mnakuwa mlishavunja ndoa kabisa na mdomana mahakamani ampewi mpaka muwe mmepitia mabaraza ya usuluhishi ambayo ni serikali ya mtaa, then kama ni wakristo kanisani, kisha ustawi wa jamii ustawi wa jamii ndo top pale laima uwe na barua za kutoka kanisani kwamba mmesuluishwa imeshindikana na pale ustawi mmnasuluishwa kisha inapelekwa mahakamani so wanaovunja ndoa ni wanandoa wenyewe mahakamani mnakwenda kupewa cheti tu kama mlivyofunga ndoa mlipewa cheti hope imekuwa safi zaidi mkuu