Nani alieshinda pesa nyingi M-Bet

ukisema kula inategemeana mzee mtu kawaka stake ya ngapi ndio ale parefu
 
kuna mwanangu alisha wahi piga 8m kwa muhindi kwa buku 25 ambyo aliweka stake
 
mimi nilikula elfu 16 ila ukihesabu vibukubuku vilivyoliwa vinaweza kununua kiwanja na mifuko 120 ya sementi,

bado nina ndoto ya kurudisha ela yangu

Ha hahaha mkuu usikate tamaaa
 
Ivi naomba kuuliza ....kwamfano ukiwa stake buku ,, alafu labda ukaweka mechi 5 ....inabidi ulipie ticket elfu tano au iyo iyo buku tu??
 
Aisee inaonekana una uzoefu tusaidie kutuwekea mikeka huku na sie tubahatishe
 
binafsi si bet ila naambiwaga kuna mshikaj kampiga mhindi 50ml....kuna mwingine miez kama tano iliyopita alidaka laki 5....taarifa za wanaokula ni wachache ukilinganisha na wanaoliwa.....watu wa mikeka poleni sijashawishika bado ila navikumbuka vijero vyangu viwili.....sikurudia tena
 

dah kanji ashanichapa mno,, cha ajabu hata nikiweka mkeka wa kula 3000 ananibania,,, hii ndo risk business ever,,
 
Me nachezea mswak kila leo ila c o kes waa nin.. waswahil husema penye nia nauwekezaj uwezi kufel kwhyo one day yes!..... ,, au sio wananguuuuuuu
 
Mkuu andika vizuri au kweli ulishinda Elfu 60,32000?
Hiyo ni 6,032,000? au billion 6 na ushee?
 
mimi nilikula elfu 16 ila ukihesabu vibukubuku vilivyoliwa vinaweza kununua kiwanja na mifuko 120 ya sementi,

bado nina ndoto ya kurudisha ela yangu
Hahah ushakuwa sugu
 
mi hela kubwa kula ilikuwa 1.2m nyingine ni laki7 laki6 na nimemla sana mhindi ...na ukitaka kumla mhindi weka kuanzia 50k hachomoki game zisizidi 6 na usiwe na tamaa ya hela utamla kila week end ....kwa mfano unaweza weka laki ukaweziwekea team giant tupu lazima ule kwenye laki 3 hivi......hua kila week end lazima aliwe week chend iliyopita niliziwekea arsenal,mutd,leicester,juve,zanit ,chelsea pamoja na everton nikawala laki 6 na nusu niliweka 70k ...ila hela ilipatikana kwa jasho namshukuru rashford ilikua tayari nishaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…