Daaaah umenikumbusha mbali sana mkuu.wadau habari zenu. embu tuone nan aliepata kitita kikubwa cha pesa hapa ndani. Mimi buku Tisa. huwaga na weka mkeka was buku tuu sizidishi. ila hii kitu imenisaidia kiasi japo naliwa
Ndo over ioHivi Wanayo Option Ya 3+?
Hizi fix.. Mbet dau la mwisho ni sh m3mimi nilipata milioni 12, tano na juzi tu nimevuta m9
Labda alcheza super1x2Hizi fix.. Mbet dau la mwisho ni sh m3