Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Sawa kichwa kichafuSi Sawa Na Kumtafuta Mtu Aliyegundua Kunyandua Papuchi?
Binadamu Alikuwa Na Uwezo Ambao Urithisha Generation Moja Kwenda Nyingine.
Ndo nasikia kwako kwamba kulala hadi ujifunike shukaHabari wanaJF.
Kuna wanasayansi wengi wamepita na wamefanya mengi mazuri, na sifa zao zinaishi mpaka kesho.
Lakini Kuna wanasayansi waliogundua kwamba ili mtu alale Ni lazima angalau ajifunike chochote lakini wanasayansi hao hawajulikani au ni jambo lililotokea kwa asili?
Kwamba watu walijikuta wanafanya hivyo? Wewe unapenda kujifunika nini? Na unampa asilimia ngapi mgunduzi wako wa kujifunika??