Nani alikuwa na real sauti nzito ya simba/zege, orginal na si ya act kati ya hawa wana-Hip Hop wakongwe Bongo?

Simba si DAIMOND jamani au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwamba alikuwa anaitwa Ommy G wa kundi la FDC free dogs camp. Msikilize kwenye ngoma ya KINDUMBWE NDUMBWE
 
Kuna mwamba alikuwa anaitwa Ommy G wa kundi la FDC free dogs camp. Msikilize kwenye ngoma ya KINDUMBWE NDUMBWE
Haha..hii kindumbwe ndumbwe sikua najua ya nani nimeskiliza imenikumbusha mbali. Ile sauti ya moshi mapafuni !!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…