Young A-chancellor
New Member
- Jul 19, 2022
- 4
- 0
Hujambo na karibu sana wewe shabiki bora wa sanaa ya tingatinga katika mwendelezo wa simulizi hii natumai uko vyema wa afya na kiroho[emoji6] na kama ndo una ungana nami kwa mara ya kwanza basi hakikisha unasoma makala yangu ya kwanza niliyo ipakuwa hapo awali kichwa cha habari (Je sanaa ya kitamaduni pekee ya tingatinga Tanzania ipo katika mikono salama) na hapo Nadhani mweshimiwa msomaji utapata kwenda sawa na ninapoendelea saa hii.
Na tuendelee basi pale kwa mzee George Lilanga pia maarufu kama Picasso wa Afrika
Eeee!! Hujui kama sanaa ya Tingatinga iliyofanywa na huyu jemedali mkongwe ilifanana sana na Picasso wa ulaya? basi kama hujui ndo ujue ivyo
Kwani jamaa yani da! Sijui nisemeje maana majumba makubwa ya kutunza sanaa za enzi yaliyotapakaa duniani yana kazi mahili sana za mtaalam huyu.
Tuanze na kumtambua kwanza bwana George Lilanga
Kazaliwa mwaka 1934 mchoraji wa rangi na mchongaji vinyago aliyepata jina pale nyumba ya sanaa Dar es salaam baada ya miaka kama miwili iv ya kuwa mlinzi. Mwaka 1972 alijipima kwa kuchora na rangi na kisha kuchonga vinyago na kazi zake zikasheena jumba la makumbusho ya taifa posta mwaka 1974 ivyo tu yaani, akafanya safari yake ya kwanza nje ya Afrika mwaka 1977 akatua Newyork Marekani. Wapi makofi jamani!! Kwa huyu jamaa maana da!, mguu wakutoka ulitoka kweli kweli.
Jamaa bwana hakuwa na haraka ya kurudi bongo basi aka kaa Kwa mda pale Manhattan Newyork akiuza zake sanaa katika chochoro hizo kutafuta mkate
View attachment 2320386
Nataka uangalie kwa makini sana kazi ya huyu jamaa maana hata yeye aliita tingatinga asa_ _ hii ilikuwa ni tofauti na ya bwana Said japokuwa ilibeba jina lake basi tuseme yeye aliongeza njonjo maana hii ni ya mwaka 1991 miaka Kazaa baada ya kifo cha mgunduzi wetu Said Tingatinga.
Tingatinga yeye alichora wanyama ambao maumbile yao hayakuwa magum kuelezeka hayaku beba simulizi nzito ya kisanaa. Simulizi inayomuunganisha msanii na mchoro wake mbele ya tafrija katika jamii na ndo maana hata aina yake iv sasa haina mvuto kwa wateja wenye nyodo ya sanaa
Hasa hii inamaanisha nini? Kwamba mfuasi alimpita mwalimu?
Kwa sababu bwana George pindi anaanza kazi hii mwaka 1972
Mtaalam Said alikuwa hai, tena alikuwa habari ya mjini inamaana waliwahi kutana? Sidhani. Ni wazi kwamba milima hii miwili ilikuwa na fikra sawa za sanaa lakini swala la wito ni kitu kingine hatuwezi tambua nini wito wa Said Tingatinga kuanza kuchora, lakini wito wa George Lilanga uko bayana!!jamaa alikuwa na chembechembe za
Mozambique wataalam wa kuchonga vinyago. Na vinyago hivi havina mashiko hata!
Nenda pale mwenge vinyago alafu angalia wachongaji na vinyago vyao! binafsi mimi sijavutiwa navyo nilijawa na nyodo kwa kuviona tu
Na bwana George aliviangalia vinyago hivyo kama mimi nilivyo viangalia na kimoyomoyo akajisemea "nitavipendezesha!!"
Kwa iyo akajifunza kuchora Tingatinga, na turudi hapa kwenye kuchora hapa bwana George yeye alipachukuliaje? Bwana George aliitokezea michoro ya Tingatinga kama somo la kujifunzia sio kwamba aliiganda kwa kusema "michoro yangu nayo ni tingatinga" la asha!
Huyu jamaa yeye aliichora ili aelewe maana yake katika mwonekano wa kisanaa je mchoro huo una hadithi gani kwa kuangalia!? George alilionesha hilo baada ya kuwa mbobezi michoro yake ilikuwa KAMA ya tingatinga lakini sio Tingatinga.
Mara kibao aliipa majina tu kama sentensi fupi aliyotoa kwenye hadithi. Alikuwa mbunifu jamaa na baadae alivyochonga vinyago vyake alivipaka rangi maridhawa ili kuleta maana kamili. Embu angalia orodha ya kazi zake kimauzo katika kumbi mbalimbali ulimwenguni afu niambie
Yani hata baada ya kifo chake 27 juni 2005 bado kazi zake ziliuzwa. Embu fikiria nchi kama ufaransa inavyofahamika kwa kunyanyua na kuwaenzi wachoraji walipendezwa na kazi yake fulani iv
Mwaka 2003 hapo Picasso wetu alikuwa kilema wa miguu da! Na ndo maana sijataka kuweka sana picha zake
Siku ukienda ufaransa katika mitaa ya Mitterand nenda kwenye ukumbi wa Pèrigeuax uliosheheni michoro ya dhamani alafu tafuta mchoro wa George Lilanga upige nao picha.
Sio unakuja bongo kutulingishia picha ulizopiga kwenye magari ya kifahari yaliyoegeshwa na wenyewe hawapo we vipi?
Asa tuulizane vipi hapo ilikuwaje mpaka aina hii kali na ya kuvutia ya kuchora Tingatinga ilipotea mpaka Leo hii hatuitii machoni!?
Babu kafanya machekecha kajipinda alafu wajukuu tunapuyanga
Vipi jama? Na nikuchekeshe hapo, kuna jamaa mhitalia maarufu anayekusanya kazi za sanaa rafiki yake mkubwa na George Lilanga anafahamika kama Jean Piggozi
aliwahi hojiwa juu ya kazi za sanaa zilizopotea Afrika na jarida la sanaa Afrika CIAA akasema tingatinga ni mojawapo! Hahaha maana hapo kwanza ncheke! Serikali imeiacha sanaa ya Tingatinga mikononi mwa mzee mmoja ivi
Anakwambia yeye anapenda kuchora tembo kwakua tembo ana nguvu
Michoro imenyooka kama karatasi sijui anauza shingapi na wapi! Na sio hapo tu mwangalie binti wa jemedali wetu Edward Said Tingatinga
Na yeye anachora eti kwa takriban miaka kumi sasa na sidhani kama amewahi kanyaga pale Pèrigeuax Ufaransa ashakum si matusi jamani
Nikirudi tena nitaongelea swala zima la njia zilizopo ambazo zinaweza fufua adhina ya sanaa hii katika soko la sanaa barani Afrika na dunia kwani naamini hatujachelewa bado
Asante na shukhrani ulikuwa nami Young A-chancellor
Tutakutana tena kwaheri!

Upvote
0