Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Huyo mchezaji yupo km MTU asiyejitambua kabisa

Huwa akicheza timu ya Taifa akiguswa kidogo anajiangusha. Muda akiinuka anacheka eti sujui huwa anajiona nani wakati mpira wenyewe anacheza wa kubahatisha huko kwenye ligi mbovu kuliko zote ulaya.

Kina Sadio Mane wanacheza ligi bora duniani ila akiwa timu ya taifa anapambana kama kwenye timu yake

Ila huyu jamaa amebaki kukenua tu uwanjani.angejua watu wanavyomchukia angenuna tu baada ya kukenua maana an a chunkiza

Tatizo media zimevimbisha kichwa ila mpira hajui


Huyu samata angefikia hata robo ya mafanikio ya Victor wanyama wa Tottenham angebadilisha hadi uraia nadhani maana anajiona ni mchezaji maarfu kumbe anajulikana Tanzania tu
 
Kama mpila hajui alifikaje MAZEMBE kisha akaenda KRC GENK? kawezaje kuwa Top Score Last Season hiyo Jupiter League at same time European league alifikisha goli 8 loh hizi nichuki binafsi tu.
 
Unataka akaze mkimvunja miguu jee,si ajab cha maana mtachofanya kama nchi ni kumpa pole,akat tayar keshaharib kaz yake..genk ndio wanamlipa tena anataraj kwenda EPL sasa aumie halaf akose vyote kwa nch ambayo haimsaidii chochote zaid ya kumpigia makof...hata ningekua mim samata ndo ningekua nasema siji kabisa pambaf
 
Wewe usiyechekacheka unacheza ligi gani Mkuu!?
Tuanzie hapo kwanza!
 
Ubeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora

Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
Kama mpila hajui alifikaje MAZEMBE kisha akaenda KRC GENK? kawezaje kuwa Top Score Last Season hiyo Jupiter League at same time European league alifikisha goli 8 loh hizi nichuki binafsi tu.
 
Halafu akikosa magoli ya wazi anakenua[emoji16][emoji16] ndugu zangu tuache unafiki jamaa anaudhi mno,sema ndio nchi ishakuwa worship & praise group,kila kitu hewaa!!..
Sijawahi kukubali uchezaji wa Samata. Praise team watasema tuna wivu ila siyo mchezaji wa kuchukulia mkopo ni bahati tu iko upande wake.
 
Mpira hajui media za Tanzania nyingi zinamvimbisha kichwa

Ila uwezo ni mdogo sana anezidiwa na wachezaji wengi wanaocheza ligi ya Tanzania
Mkuu vipi jamaa amekuibia mke au, manake siyo kwa povu hili. BTW fanya yako boss upate walau pesa ya kula mwenzio kashatusua maisha, kumfatilia ni kupoteza mda.
 
Angalia kwa Kapombe alivyoumia timu ya taifa kama walimtibu kuna wakati sisi wabongo nuksi sana
 
Ubeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora

Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
usiniambie wale mascout wanachukua watu ambao hawana vibaji wachezaji wangapi bongo hapa washaenda trial na wamefeli? Jaribu kuheshi watu na kazi zao dude SAMATTA anakipaji na juhudi ndio maana yupo pale muda sio mrefu ataenda next level unayoitaka ww ambayo unasema ni EPL sijui utaongea nn siku hiyo mm nitakurudia kwenye huu uzi labda uufute siku hiyo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…