USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Curfew amli ya kutotoka nje usiku unatekelezwa usiku katika miji kadhaa nchini Kenya ili kupambana na corona wakenya wanaruhusiwa kifanya yote mchana ila kuanzia saa 12jioni hadi 12 asubuhi wawe ndani ya nyumba zap ,inamaana rais wa Kenya anaamini wakenya watambulizana corona usiku tu .
Hii inamaana kuwa watu watakuwa wanapata corona mchana na usiku wanakuja kuambukizana wakiwa nyumbani, hii inatofauti gani na kuwaruhusu wapige kazi tu kama kawaida
Mpka sasa Kenya ndio inaidadi kubwa ya wagonjwa na vifo huku wagonjwa wakiongezeka kila siku na inadaiwa haina uwezo wa kiwapima wakenya wote na kuna idadi kubwa ya wakenya wanaokataa kupimwa kwa kuhofia kuwekwa karantini na wataalamu wasema itachukua miaka zaidi ya kumi kwa taifa hilo kupima watu wote
Swali :nani alimdanganya rais Kenyatta kuwa corona inaenezwa usiku tu?