Nani alimpotosha Mbwana Samatta?

MPUNGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
838
Reaction score
561

Hivi wajinga gani walimshauri huyu dogo kusaini mkataba wa awali wakati njia yake kwenda soka la juu Ulaya isingekuwa na mabonde na milima?

Kwanini akaanzie Genk ambayo haichezi hata UEFA sababu tu ilimtoa Benteke , De bryune na wengineo na sera yao ni kuuza wachezaji?

Mbona kuna wachezaji kama akina Kolo Toure walitoka ASEC Mimosa kwenda kukipiga Arsenal.

Dogo kweli hapo wajanja wa kupiga mpunga wamemkamata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…