K kimarabucha JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 791 Reaction score 621 Nov 19, 2017 #1 WADAU Kwa anayejua nini nani alihusika na KIFO CHA MUASISI Wa RPF Rwanda Bw. Fred RWEGIMA?
K kajunju JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 999 Reaction score 317 Nov 19, 2017 #2 aliuawa na kamega ili ashike madaraka
kenstar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,276 Reaction score 1,443 Nov 19, 2017 #3 Watu wasiojulikana
E Electric Drive Senior Member Joined Nov 2, 2016 Posts 113 Reaction score 87 Nov 19, 2017 #4 kajunju said: aliuawa na kamega ili ashike madaraka Click to expand... Wakati anauawa huyo uliyemtaja alikuwa USA masomoni au mafunzoni,fafanua uhusika wake.
kajunju said: aliuawa na kamega ili ashike madaraka Click to expand... Wakati anauawa huyo uliyemtaja alikuwa USA masomoni au mafunzoni,fafanua uhusika wake.
Nnangale JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 2,664 Reaction score 1,379 Nov 22, 2017 #5 jeshi la habyalimana liliwazidi nguvu hao wavamizi wa rpf na rwigema akitumia landrover alijaribu kuwatoroka lakini kilichofuata ndiyo hii hadithi.
jeshi la habyalimana liliwazidi nguvu hao wavamizi wa rpf na rwigema akitumia landrover alijaribu kuwatoroka lakini kilichofuata ndiyo hii hadithi.
Nnangale JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 2,664 Reaction score 1,379 Nov 22, 2017 #6 na bila kifo cha habyalimana leo hao rpf wangekuwa bado wako uganda.