Nani aliona Pumzi ya Injinia Hersi Hilal waliposawazisha goli?

Nani aliona Pumzi ya Injinia Hersi Hilal waliposawazisha goli?

wadzelino

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
225
Reaction score
385
Ilikuwa kwa Mkapa, asee Hilal waliposawazisha, Kamera ilimuonesha Injinia Hersi akivuta pumzi ya Moto!
 
Pumzi ya motooo
F45784AC-2597-4D41-ACBB-AD4E31F6ED30.jpeg
 
"MKINICHAGUA KUWA RAIS NITAWAJENGEA UWANJA MIMI NI INJINIA".. mwisho wa kunukuu!
 
Unajua hata yeye hubeti, na huiamini timu yake.
 
Back
Top Bottom