Nani alisema kazi ya kukata na kupaka rangi kucha wanawake wafanye wanaume?

Nafikiri huo muda wa wanawake kukaa na kuanza kuchambua kucha za wanawake wenzake, kusugua nyayo ndiyo kipengele.

Ila ukipata chimbo zuri ina pesa.

Sema Kuna vijana wanafanya makusudi mbwembwe kibao ili kumpa ashki mwanamke (Anayeruhusu huu upumbavu).
 
Kupaka scrub barbar shop uliwahibona ni wanaume? Nadhani wanaweka jinsia tofauti ili kuvutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…