Nani alishagonga afande humu?

Nani alishagonga afande humu?

Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Afande kitu gani mimi mgambo tena yule analinda mochwari... Halafu kiliwakia kwenye kile kitanda cha kuchunguzia maiti [emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
mie tulipo achana akaja beba vitu kibabe sikuleta kwere nikahama kanitafuta kama miezi mi 2 akafahamu napo kaa akaja na mwenzake wa kiume kuleta noma

nikaona isiwe tabu nikaenda ripoti kwa mkuu wake ndo kaacha kusumbua.

wana kero sana, hta mademu wanakuwa wanakukwepa kuogopa kuletewa noma.
 
Mpelelezi tena quoters kwake. Baada ya muda ikawa kila Jumapili yakawa mazoea nashinda naye home kwake then jioni ananisindikiza tunagonga bieri anarudi home kwake. Wenzake walianza kuni-mind kinoma eti nawadharau kwamba kambi nzima hakuna kidume hadi namfuata mwenzao na kumchapia makazini kwao.
 
Maendeleo hayana chama..

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Back
Top Bottom