Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
[emoji23][emoji23][emoji23]mie nilimgonga na guta maana sikumuona alikuwa anaongoza magari mie nikajua taa ghafla hamadi huyu hapa.
Afande kitu gani mimi mgambo tena yule analinda mochwari... Halafu kiliwakia kwenye kile kitanda cha kuchunguzia maiti [emoji23][emoji23][emoji23]Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Story yako fupi mno[emoji23]Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Hivi wewe huwa unawaza nini? Hadi nimecheka kwa sauti .. haya!Afande kitu gani mimi mgambo tena yule analinda mochwari... Halafu kiliwakia kwenye kile kitanda cha kuchunguzia maiti [emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji847]Unankumbusha nina mshikaj wangu mmoja aliwah kuwa na dem km huyo akawa wakat wa kupiga vyombo anamwambia asivue uniform agegede nazo[emoji23]