Nani alishagonga afande humu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe kugonga baka baka sio jambo la kawaidaa... hata polisii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Style ya kumfunga pingu lazimaa... na kupandisha sketi zao zileee...
Tatizo la mleta uzi na wachangiji wengi ni kudhani ukigonga afande basi umegonga sare, magwanda, jeshi zima mpaka kiongozi wao.

Wrong Mentality. Yule ni BintAdam tu kama wengine.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....komando wa kisomali...nilitaka kujua tu..[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Nimekula polisi watatu, ila wana njaa sana!!!
 
Afande kitu gani mimi mgambo tena yule analinda mochwari... Halafu kiliwakia kwenye kile kitanda cha kuchunguzia maiti [emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Mkuu Mshana Jr nawasi wasi siku hiyo ulivaa miwani ya chuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji2093][emoji2093][emoji2093][emoji2093]
 
Wewe unacheo gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilimgonga mjeda na gari ya dingi, nikatoka mbio sasa pale nilipomgonga yule mjeda kumbe wananijua. Ilikuja rover nzima ya wajeda mzee kutoka namsikia yule mkuu wao aahh kumbe mzee wetu bwana. Mzee akasema mwanangu ndie alie mgonga lakini akatoa hela hao wakaondoka. Ila yule mjeda alialikwa weekend kula home. Akawa rafiki yangu sana. Lakini siku niliomgonga yule mwela mwenye pikipiki la polisi niliishia sero masaa 12 kudadeki


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…