Nani alisoma mawenzi secondari 1980-90?

Kadogoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2007
Posts
2,073
Reaction score
341
kama kuna yeyote aliepitia shule ya mawenzi sec. Moshi mjini kuanzia miaka ya 80-90 naomba anijulishe ili tupashane ya wakati huo za enzi za mwalimu machachari mr. Sango sijui kama yuko hai!
pia nakumbuka ugali na maharagwe, bila kusahau shamba la kifumbu hapo tulilima sana mahindi!!

shule yetu kwa kweli ilikuwa maridadi sana na nidhamu ya hali ya juu wala sidhani kama kuna shule nyingine kama hiyo tanzania ktk kipindi hicho! Ilikuwa nadra kutoa division 4 na 0 kwani 1na 2 zilikuwa zinaongoza vibaya sana!!!

ANGALIA PICHA SAFI MAWENZI SEC/HIGH SCHOOL

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…