Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Halafu anapoelekea kubaya. Yaani media bado changa ameshaanza kuwakwaza tabaka kubwa mojawapo la michezo kwa kuuliza maswali ya kipuuzi.nyuzi zako zinakosa wachangiaji kwasababu azina sensitive content,na wakipatikana wachangiaji awafiki kumi.
Nani Mdoli Sasa?Hebu tuulizane vizuri wadau wa michezo, maana hii Midoli toka itambulishwe pale Msimbazi furaha kwa Wanamsimbazi ilipotea na ndugu Huzuni aliingia na kuvimba kabisa.
Swali ni moja tu Nani alitoa wazo la Hawa VIUMBE pale Msimbazi? Na kwa nyongeza tu wana faida gani?
Jitahidi ukileta mada zako humu jukwaani, uwe unaweka pia na picha za kusindikizia.Hebu tuulizane vizuri wadau wa michezo, maana hii Midoli toka itambulishwe pale Msimbazi furaha kwa Wanamsimbazi ilipotea na ndugu Huzuni aliingia na kuvimba kabisa.
Swali ni moja tu Nani alitoa wazo la Hawa VIUMBE pale Msimbazi? Na kwa nyongeza tu wana faida gani?