Nani alitufundisha kuhusu Duka la mtandao (Postashop) Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?

Hii project nilipeleka nika geukwa .na aliyenigeuka ni mdada kitengo cha tehama upande hayo kalobwicho ya posta shop
Duuh pole sana fellow Developer. Wamecopy idea au wamechukua na scripts zako pia?
 
Reactions: Fbn
Wamewaonea wivu dada zao TPB na TRL😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…