Nani aliwakilisha UDSM kwenye uzinduzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ??

Nani aliwakilisha UDSM kwenye uzinduzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ??

samirnasri

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
1,388
Reaction score
213
Jana trh 25 Nov 2010 rais JK alizindua chuo kikuu cha dodoma. Kati ya wageni waalikwa kulikua na wakuu wa vyuo mbalimbali vya umma na vya binafsi. Sina hakika nani aliwakilisha mzumbe na sua ila nina uhakika viongozi wa juu watatu wa udsm (mukandara, maboko na mgaya) hawakuwepo. Je udsm waliwakilishwa na nani. Na kitendo cha mabosi watatu wote wa udsm kutohudhuria uzinduzi huo kina ashiria nini?
 
Back
Top Bottom