Nani aliyesema Inonga day?

Nani aliyesema Inonga day?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninasikitishwa na ujinga huu ambao unataka kuwa fasheni kwa sasa katika soka letu.

Nijuavyo, wachezaji wa Simba ni aina ya wachezaji ambao sifa zikiwalevya wanaanza kucheza upumbavu wa show game na kujaribu kuonesha vipaji vyao vya kuchezea mpira huku wakipoteza focus ya kupata ushindi na kuridhika na kushangilliwa na mashabiki wapuuzi walio wengi.

Tena ni mbaya sana kwa kumtaja Inonga.Huyu jamaa nikuhakikishie atawaweka roho juu mashabiki kwa dharau zake ambazo najua kuna wakati atafeli na kupoteza mpira eneo baya simply kwa kujaribu kutafuta sifa za kijinga tu.

Simba acheni kufanya mambo ya kitoto hatuna wachezaji wanaojitambua kama wa yanga
 
Kuna ukweli hapo
 
Mwenye mali ndiye kasema!
 
Back
Top Bottom