Nani aliyewaambia Chadema kuwa maridhiano ni ya kwao na CCM au serikali?

Muhusika Mkuu kivipi?
Mgogoro unaozungumzwa ni wa mfumo wa uchaguzi na demokrasia na CHADEMA ndiyo chama kilichosusia uchaguzi, kikadai kura ziliibiwa, na viongozi wake wakakamatwa/kushtakiwa kwa misingi ya kisiasa.

Huwezi kuzungumzia kurekebisha mfumo uliozalisha mgogoro bila kuhusisha chama kilichoathiriwa zaidi na huo mfumo.
 
Sory mkuu hivi umevutia wapi bangi
 
Mbona umeandika mambo mengi lakini ujinga mtupu ? Rudisheni miili ya watanganyia mliowaua ndugu zao wazike na hao ndio mkaridhiane nao. Vyama vya upinzani wamekuambia wanataka katiba mpya na sio uongo na ubabaishaji unaoitwa maridhiano
 
Mbona umeandika mambo mengi lakini ujinga mtupu ? Rudisheni miili ya watanganyia mliowaua ndugu zao wazike na hao ndio mkaridhiane nao. Vyama vya upinzani wamekuambia wanataka katiba mpya na sio uongo na ubabaishaji unaoitwa maridhiano
Mwizi atakiwa kuchomwa moto ndiyo adhabu ya wezi walikua wanaiba kwenye maduka ya watu October 29 kwa Kufadhiliwa na CHADEMA
 
Yaani hili tapishi nimefika paragraph ya pili nikalipotezea, atakayekuwa na muda wa kusoma asumarize. Sasa kama cdm sio wakubwa hivyo andishi refu hivi la nini? Tuonyeshe andishi refu la hivi ukiwaandika jahazi asilia. Zama za ccm zimeisha, lolote mfanyalo sasa linagoma.
 
Mwizi atakiwa kuchomwa moto ndiyo adhabu ya wezi walikua wanaiba kwenye maduka ya watu October 29 kwa Kufadhiliwa na CHADEMA
Ila walioiba uchaguzi wao wanatakiwa wawashiwe vimulimuli. Mwisho umefika, soma alama za nyakati, huu mlio wako ni sababu ya ukweli kuwa ccm iko ukingoni.
 
Wajinga wote huangalia wingi na sio uwezo ama ubora. Ukitaka kujua wingi si hoja, tazama wazungu enzi wa ukoloni walikuwa wangapi, na walitawala waafrika wangapi.
 
Nakala ndefu,pumba tupu!

Yaani hicho kitengo cha propaganda cha sasa bora hata enxi za Nape. Wamepwaya kweli kweli.

Hivi ni sababu gani zinazofanya waridhiane na ACT Zanzibar halafu wakija bara wanataka kutuletea Chauma kama wadau wakubwa....!!?
 
Chadema ipo na wananchi hata Mama yenu anajua hilo
 
Kila Chama kina misimamo yako we bwege mtozeni

CDM Haridhiano sio vipaumbele vyake kwa sababu ilikwisha RIDHIANA sana huko nyuma toka enzi za Kikwete hadi leo hii hakuna utekelezaji wowote

CDM ina madai yake na sio Maridhiano yake ambayo ni
Katiba mpya itakayo tupa tume huru ya uchaguzi na utawala unaowajibika

CdM haina shida na Maridhino……. Hizo ni agenda za ACT, Chaumma, TADEA nk

CDM ni
#FreeLissu
#KatibaMpya
 
Meza vidonge vya kuzuia kuharisha, sio kwa utumbo huo.
Mnaweza kuridhiana na vile vyama vya briefcase mlio wahonga mpaka magari washiriki uchafuzi
Huwezi kutaja hata jina la mwenyekiti mmoja wa hivyo vyama shikizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…