Dilunga hapa kazungumza ukweli mtupu though unaweza kuwa unauma kwa upande wako bt ukiuchukulia kama changamoto nina uhakika utafanikiwa sana katika business yako mkubwa!
Pili, kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu, kama mnalenga lakumtengenezea hiyo software a specified client kwa nini usikae na huyo client akakueleza wao kny firm yao processes zao zipo vipi? kwa mfano akwambie procurement ao zipo vipi, banking zao zipo vipi, receivables zao zinaendaje, services zipi wazitoa etc! Lakini ukiuliza hapa na watu wakakupa hiyo michango sidhani kama itakusaidia sana!
Tatu wewe hata kama hiyo ID yako ni fake lakini hiyo web address yenu ni real so which clients kama huwa wanaingia hapa na wakikusikia unatapatapa hapa watapta impression kwamba nyie ni wababaishaji na itakuwa sababu kubwa ya kuingia mitini! Na ukiacha hao clients mlionao, sisi wengine hata kama tuna mahitaji ya software sidhani kama tunaweza kuwa na confidence ya kuwacontract nyie na CO yenu kutufanyia designing hiyo...simply tumeshawaona kama wababaishaji fulani!
Hey guys, thanks for nice and useful comments. Inaonekana kwamba what I wrote here imekuwa miss understood kigodo. Ila naweza kufupisha hivi ili nieleweke vizuri:
First thing first, about the website hii has nothing to do whith what I posted here. Nimepost kitu personal na sio agenda ya company.
Pili, hii website si yangu. Kuna washkaji zangu walikua na timu kipindi fulani hapo nyuma, and I happened to work with them, and still work with them sometimes wakihitaji msaada wangu. Kuiweka kwenye signature yangu ni kuwapa shavu tu ka washkaji.
Thanks kwamba you saw those glitches ambazo mi sikuwahi kutoa macho kwenye hiyo site kiasi hicho na kuziona.
Tatu, kama nilivyosema what I posted here ni personal. I work with QVC Company Ltd that provides a range of mobile solutions hapa tanzania.
Nilichofikiri now ni kujenga wazo la kuwa na product ambayo inaweza kufaa industry tofauti za hapa kwetu. Moja za industry ambazo nilikua nimefikiri ni Legal Industry.
So, siyo kwamba I have a client, au I have a product to market to clients... nadhani hapa ndo nimeeleweka tofauti kidogo. I need someone to work together, to build something from scratch that we could market to Legal companies, or any other industry.
What I have is just technology. I need someone to come up with ideas from different industries to make use to that technology. Of the industries I thought ni law firms. But we have another team working on education industry at the moment.
As you can imagine, you can't develop ideas about the industry you know nothing of. I need to partner with someone and develop ideas together, probably form company together.
Sorry if my post was misleading wazee.
So, kama you have ideas ya jambo tunaloweza kufanya pamoja as a team, let's work together and change the country wakuu.
Cheerz