Nani amekiona kiwanja cha SSC Bunju?

Nani amekiona kiwanja cha SSC Bunju?

Megawatt B

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
259
Reaction score
69
Wapendwa, tukio la siku hizi mbili timu zetu kongwe za Simba na Yanga kucheza pale Chamazi zimenipa fikra ya kutaka kujua nikiwa shabiki wa timu hii Simba Sports Club. Kwa muda mrefu viongozi wa timu ya Simba aka Mnyama, Wekundu wa Msimbazi, wana sema wana eneo(kiwanja) eneo la Bunju ambalo litatumika kujenga uwanja huo. Naomba yeyote aliewahi kuona eneo hilo anijuze lipo sehemu gani. Mimi nipo Bunju, nimezunguka Bunju A na B mpaka Mabwepande kutokea Mapinga hakuna aliyesema pori lile ndilo eneo la wana Msimbazi ambalo wafadhili "WATURUKI" inasemekana watasaidia kuporomosha ka min Emirates hapo! Msaada tafadhali
 
Duh wee humjui Rage ni mbabaishaji hana lolote.
 
....ushawahi kusoma hadithi za Abunuwasi?ndio simba hao
 
Labda ndo wanatafuta hilo eneo hivi sasa

yaani wewe mpita njia katika harakati zako za uzurulaji uja wahi ona sehemu ya kusadikika maeneo ya bunju ambako wa turuki wanafadhili..

Duh wee humjui Rage ni mbabaishaji hana lolote.

yeye anatumia sheria zaidi katika kufikiria kiasi chakuanza kuyatafuna mawazo ya mashabiki wao.
....ushawahi kusoma hadithi za Abunuwasi?ndio simba hao

kama kweli vile ilaa na shaka kidogo
 
ili porojo ktk soka ya tz ikome, na soka ya tz ikue na kubadilika ni lazima hizi timu mbili zivunjwe
 
Back
Top Bottom