Nani amekosea hapa kati yangu na mzungu?

Kiherehere kwani nao ni ugonjwa ndugu ?
 
ulitakiwa umtie kofi la takle alafu ulibinye, sidhani kama alikuwa anahitaji salamu, na ndio maana aliondoka Mkuu, next time mzungu akija bila salam akasimama mbele yako we mshike takle, binya kama unakamua mawese, visa na Safari huanzia hapo.
Wazungu wengi mademu hawana takle labda aminye mfupa
 
Kosa ni kutokuwa na rasta,anza kufuga halafu mrudie. Anyway,jifunze kuacha shobo
 
Mwanaume shobo za kazi gani sasa, hiyo fedheha ni haki yako
 
Shekhe jaribu kuelewa tamaduni za jamii nyingine, duniani ni Watanzania pekee ndio tuna shobo ya kusalimiana hata kama hamjuani. Jamii nyingine huwa wanapiga kimya tu!!
 
Usiseme dar...Yaani baadhi ya watu kwenye jamii hawakupi support kabisa
 
Kwa upande wangu hujakosea mkuu na Wala usiwe na muda wa kujiuliza maswali sana ,Inawezekana tamaduni zao hawapendi kusalimiana na yeye upande wake anajiona Yuko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…