GentaGentamycine
THE KING!!
Labani ogWafuatao wamelitendea haki jukwaa la michezo
Joseverest
Frank Wanjiru
Labani og
Shadeeya
LIKUD
Medecin
Nifah
Na wengine wengi kasoro genta.
Mwanzoni alikuwa vizuri sana, baadae sijui alikula maharage ya wapi akaanza ujinga ujinga.@NALIA NGWENA mzee wa kupost zaidi ya posts 20 kwa masaa kadhaa akiisifia Yanga ama kuiponda Simba
Hapa unaimply ni mtu Mmoja.GENTAMICIN na/au NALIA NGWENA.
Wafuatao wamelitendea haki jukwaa la michezo
Joseverest
Frank Wanjiru
Labani og
Shadeeya
LIKUD
Medecin
Nifah
Na wengine wengi kasoro genta.
Nashukuru for the mention