severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Baraka.Ballack
Calvalho kaondika 2010 so anapaswa kuwepoKumbuka ni kikosi cha miaka 10 iliyopita na sio kikosi cha muda wote. Hivyo kuna wachezaji kama Carvalho hapaswi kuwepo.
So 2009 mpaka 2010 kacheza mwaka mmoja. Cahill ana deserve hyo nafasi kwa kigezo cha muda mkuuCalvalho kaondika 2010 so anapaswa kuwepo
Eva Caneiroyule dada daktari...mbaya wa JM.
yuko Brazil team ya PalmeirasYupo china
Samahani ..ivi wee dada umeolewa?Baraka.
Sijaolewa. Kwa nini unaniuliza ?Samahani ..ivi wee dada umeolewa?
Ndo aliharibu Chelsea.Eva Caneiro
Kwa mawazo yangu toa Willian tia Malouda kwa mata tia Oscar , ama kibaki hivyo hivyo ila kwa mata akae lampard kwa lampard akae ramirez... Unakufa popote. Mimi ni Man utd