Nani ameshawahi kuomba mkopo hlssf?

elmshash

Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
8
Reaction score
5
nimepitia website yao wamejieleza vizuri sana ila sitaki kukurupuka nataka kufahamu kwanza kama kuna mtu yoyote humu aliewahi kupata mkopo kupitia kwa hawa jamaa ili kidogo anipe data kadhaa. MSAADA TAFADHALI.
 
Ndio wanaanza kuoperate mwaka huu nadhani!
 
Hawa jamaa wako makn,kuna dogo ameniambia aliwah kutuma maombi yake,wamempgia simu kumtaarifu kwamba wamepokea form yake na majibu ya successful applicants yatatoka wkt wowote kuanzia sasa.
 
Watu wana mbinu za kutengeneza pesa hapo wakati wanaanzisha wametarget wataokosa mikopo ambao zaidi ya 10,000 kwahyo wanauhakika wa kupata zaidi ya mil200....ktk hizo wakitoa majina feki 2000 na kuwapa 50 mil3 mkopo,next year watapiga hela sana hawa!
 
Hata mimi wadau nishapeleka form za maombi nasubiri sandakalawe yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…