Nani amewahi kusikia ama kufika kisiwa cha wafu Tanga?

Chapa Isimame

Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
78
Reaction score
86
Ni kisiwa kinachopatikana kando kando mwa bahari ya hindi chenye ukubwa wa hekari 16.
Inaaminika kuwa haishi mtu pale toka karne ya 19 hadi leo huku kukiwepo misikiti iliyojengwa toka karne ya 17,mabaki ya vyungu pia makaburi

Ni sababu ipi ilipelekea watu kuhamisha makazi yao katika kisiwa hiki?
Screenshot_2019-10-02-16-12-34-1.jpeg
 
Naomba unielekeze vizuri hicho kisiwa kipo wapi?? Eneo gani la bahari? Tanga ipi mjini au?
 
Historia inadai kipo karibu na tanga mjini,hiyo ndiyo tanga ya kale ilipoanzia pia na hilo eneo inasemekana walifikia wajerumani miaka 100 na ushee huko nyuma na wakapata kusumbuliwa na malaria wakafa wengi na kuzikwa huko, sijawahi kufika japo nimeisha tanga mjini muda mrefu nawiwa kufika pia

kuna sehem kunaitwa mnyanjani nimewahi kusikia kulikuwapo na mji wa zamani na sehem za ndumi hebu jaribu kuuliza ni eneo gani hasa kilipo hicho kisiwa kuna kingine kule deep sea niliwah kufika swimming club watu hua wanaenda kwa mitumbwi kwa sh elf kumi ila walikataza tangu mauajivyaliyosadikika ya magaidi ya amboni kukimbilia huko jaribu kuuliza mkuu ni sehem gan au vyanzo vyake ni wapi then unipe feedback
 
Mwezi wa 11 narudi tanga, nipo dar kiharakati kwa muda. Nikirejea nitajitahidi kadri niwezavyo mkuu
 
Back
Top Bottom