Chapa Isimame
Member
- Aug 15, 2018
- 78
- 86
Umewahi kufika mkuu?😱[emoji871]Kisiwa cha wana ndoa majini na binadamu, makaburi ya waislam na wakristo yamechanganyika. Ukienda huko usisahau kupiga selfie
Nafikiria ivyoAisee
Itabidi niende huko sipendi kuhadithiwa, nitaleta mrejesho.
Naomba unielekeze vizuri hicho kisiwa kipo wapi?? Eneo gani la bahari? Tanga ipi mjini au?
Itabidi siku nikatembee huko
Mbona kama kunatisha hivi
kuna sehem kunaitwa mnyanjani nimewahi kusikia kulikuwapo na mji wa zamani na sehem za ndumi hebu jaribu kuuliza ni eneo gani hasa kilipo hicho kisiwa kuna kingine kule deep sea niliwah kufika swimming club watu hua wanaenda kwa mitumbwi kwa sh elf kumi ila walikataza tangu mauajivyaliyosadikika ya magaidi ya amboni kukimbilia huko jaribu kuuliza mkuu ni sehem gan au vyanzo vyake ni wapi then unipe feedbackHistoria inadai kipo karibu na tanga mjini,hiyo ndiyo tanga ya kale ilipoanzia pia na hilo eneo inasemekana walifikia wajerumani miaka 100 na ushee huko nyuma na wakapata kusumbuliwa na malaria wakafa wengi na kuzikwa huko, sijawahi kufika japo nimeisha tanga mjini muda mrefu nawiwa kufika pia
Mwezi wa 11 narudi tanga, nipo dar kiharakati kwa muda. Nikirejea nitajitahidi kadri niwezavyo mkuukuna sehem kunaitwa mnyanjani nimewahi kusikia kulikuwapo na mji wa zamani na sehem za ndumi hebu jaribu kuuliza ni eneo gani hasa kilipo hicho kisiwa kuna kingine kule deep sea niliwah kufika swimming club watu hua wanaenda kwa mitumbwi kwa sh elf kumi ila walikataza tangu mauajivyaliyosadikika ya magaidi ya amboni kukimbilia huko jaribu kuuliza mkuu ni sehem gan au vyanzo vyake ni wapi then unipe feedback
Hatari na kidogo kwaniHatar japo salama