Nani amewahi kutengeneza Cocktail ya asali na kilevi?

contagious

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
528
Reaction score
344
Jamani jana nilitengeneza cocktail ya Konyagi, Asali na Sprite sasa tatizo sikuenjoy sana kichwa kikaanza kuuma, Je kuna yeyote ambaye amewahi kutengeneza Cocktail ya asali na Kilevi? Sio mahali pake lakini sioni wapi hapa JF kwenye utalaumu huo! So please help me [emoji7]
 
aisee thats my cocktail inakua po sana aisee
 
Ulikosema mkuu hiyo inaitwa Punch ni kilevi kizuri sana hakina mng'ang'anio kama unavyodai ila usingeweka asali ila mahitaji yake ya hiyo Cocktal ni
Soda aina mbalimbali mfano Coke.fanta orange/passion or pinaples na kadharika changanya soda zote kwenye chombo kimoja

Hatua ya pili chukua Pombe kali zozote mfano konyagi/grants/redlables Absolut/K.vant/ na nyingine unazojua changanya nazo kwa sehemu yake alafu ziache kwa nusu saa alafu chukua mchanganyiko wa soda na pombe kali changanya kisha anza kukologa mpka upate rangi ya kijani unaweza weka barafu au ukapoza kwa friji na kadhalika ila usitie maji na hapo utakuwa umepata cocktail ya punch
 
Hii unaweza save gharama kwa mchanganyiko huo unaweza kunywa kidog kidog na ukawa na stimu ya hatari
 
Ulikosema mkuu hiyo inaitwa Punch ni kilevi kizuri sana hakina mng'ang'anio kama unavyodai ila usingeweka asali ila mahitaji yake ya hiyo Cocktal ni
Soda aina mbalimbali mfano Coke.fanta orange/passion or pinaples na kadharika changanya soda zote kwenye chombo kimoja

Hatua ya pili chukua Pombe kali zozote mfano konyagi/grants/redlables Absolut/K.vant/ na nyingine unazojua changanya nazo kwa sehemu yake alafu ziache kwa nusu saa alafu chukua mchanganyiko wa soda na pombe kali changanya kisha anza kukologa mpka upate rangi ya kijani unaweza weka barafu au ukapoza kwa friji na kadhalika ila usitie maji na hapo utakuwa umepata cocktail ya punch
Hii formula unawezatengeneza sumu
 
Mmmh, mkuu itabidi niwe na nyani pembeni kama specimen ajaribu kwanza, asipokufa ndani ya wiki mbili then na mimi nitakunywa maana to me it looks like mbashite (mchanganyo)
 
Unaweza poa kuweka juice ya miwa/lemon/ na apple unakata small pcs ukachanganya.

Hata mtu ambaye hajawahi kunywa pombe aweza kunywa ila apewe warning
 
Duuu
 
Hii formula unawezatengeneza sumu
Mkuu niko mwanza uliza sherehe zote hapa za wachaga na kumbi zote watakwambia nani anatengeneza huo mchanganyiko na uko na watu wanaupokeaje wanapokunywa na kuhusu kuwa ni sumu kila kitu tunachotumia ni sumu tu ugali ni sumu mkuu
 
Mmmh, mkuu itabidi niwe na nyani pembeni kama specimen ajaribu kwanza, asipokufa ndani ya wiki mbili then na mimi nitakunywa maana to me it looks like mbashite (mchanganyo)
Mimi ni mwaka wa nne natumia hii kitu kila siku jioni baada ya kazi niko room kwangu napiga Bob marley yangu 2 pegs
 
Unaweza poa kuweka juice ya miwa/lemon/ na apple unakata small pcs ukachanganya.

Hata mtu ambaye hajawahi kunywa pombe aweza kunywa ila apewe warning
Peeshishi Cocktail ni nzuri sana level za international
 
Wanywaji mojito,caiphirinna na caiphiroska(sina uhakika na spelling) ndo watanielewa zaidi.

Na sisi tukaiga tukatengeneza yetu ikaitwa DAWA.hii kitu ni nzuri kuliko maelezo

Unakata lime wedge zako 6,
Unazitia kwenye bilauri halafu
Unazisigina pamoja na asali.
Unachanganya na tot moja ya konyagi(local gin).unajaza nafasi iliyobak na barafu chenga chenga halafu unakoroga zichanganyike.hapo teyar kwa kunywa.hebu jaribu tuone kama utapata maumivu ya kichwa mzee.

Usisahau kurudi kutupa mrejesho
 
Mmmh, mkuu itabidi niwe na nyani pembeni kama specimen ajaribu kwanza, asipokufa ndani ya wiki mbili then na mimi nitakunywa maana to me it looks like mbashite (mchanganyo)

Hehe! 😀
 
Back
Top Bottom