contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
aisee thats my cocktail inakua po sana aiseeJamani jana nilitengeneza cocktail ya Konyagi, Asali na Sprite sasa tatizo sikuenjoy sana kichwa kikaanza kuuma, Je kuna yeyote ambaye amewahi kutengeneza Cocktail ya asali na Kilevi? Sio mahali pake lakini sioni wapi hapa JF kwenye utalaumu huo! So please help me [emoji7]
How do you make it? Naomba ujuzi nitengenezaje?Asali inaendana vizuri na wine hasa wine nyekundu........
Hii formula unawezatengeneza sumuUlikosema mkuu hiyo inaitwa Punch ni kilevi kizuri sana hakina mng'ang'anio kama unavyodai ila usingeweka asali ila mahitaji yake ya hiyo Cocktal ni
Soda aina mbalimbali mfano Coke.fanta orange/passion or pinaples na kadharika changanya soda zote kwenye chombo kimoja
Hatua ya pili chukua Pombe kali zozote mfano konyagi/grants/redlables Absolut/K.vant/ na nyingine unazojua changanya nazo kwa sehemu yake alafu ziache kwa nusu saa alafu chukua mchanganyiko wa soda na pombe kali changanya kisha anza kukologa mpka upate rangi ya kijani unaweza weka barafu au ukapoza kwa friji na kadhalika ila usitie maji na hapo utakuwa umepata cocktail ya punch
Ulikosema mkuu hiyo inaitwa Punch ni kilevi kizuri sana hakina mng'ang'anio kama unavyodai ila usingeweka asali ila mahitaji yake ya hiyo Cocktal ni
Soda aina mbalimbali mfano Coke.fanta orange/passion or pinaples na kadharika changanya soda zote kwenye chombo kimoja
Hatua ya pili chukua Pombe kali zozote mfano konyagi/grants/redlables Absolut/K.vant/ na nyingine unazojua changanya nazo kwa sehemu yake alafu ziache kwa nusu saa alafu chukua mchanganyiko wa soda na pombe kali changanya kisha anza kukologa mpka upate rangi ya kijani unaweza weka barafu au ukapoza kwa friji na kadhalika ila usitie maji na hapo utakuwa umepata cocktail ya punch
DuuuMmmh, mkuu itabidi niwe na nyani pembeni kama specimen ajaribu kwanza, asipokufa ndani ya wiki mbili then na mimi nitakunywa maana to me it looks like mbashite (mchanganyo)
Mkuu niko mwanza uliza sherehe zote hapa za wachaga na kumbi zote watakwambia nani anatengeneza huo mchanganyiko na uko na watu wanaupokeaje wanapokunywa na kuhusu kuwa ni sumu kila kitu tunachotumia ni sumu tu ugali ni sumu mkuuHii formula unawezatengeneza sumu
Mimi ni mwaka wa nne natumia hii kitu kila siku jioni baada ya kazi niko room kwangu napiga Bob marley yangu 2 pegsMmmh, mkuu itabidi niwe na nyani pembeni kama specimen ajaribu kwanza, asipokufa ndani ya wiki mbili then na mimi nitakunywa maana to me it looks like mbashite (mchanganyo)
Peeshishi Cocktail ni nzuri sana level za internationalUnaweza poa kuweka juice ya miwa/lemon/ na apple unakata small pcs ukachanganya.
Hata mtu ambaye hajawahi kunywa pombe aweza kunywa ila apewe warning
Asali inaendana vizuri na wine hasa wine nyekundu........
Mmmh, mkuu itabidi niwe na nyani pembeni kama specimen ajaribu kwanza, asipokufa ndani ya wiki mbili then na mimi nitakunywa maana to me it looks like mbashite (mchanganyo)