Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omba kwa imani huku ukitumia dawa kwa MUNGU yooooote yanawezekana.thanks kwa ushauri kaka..ila tatizo ni kwamba nimekunywa sana dawa za hospital lakini bado hali yangu si nzuri.
tatizo ni kwamba nimeshatembea kwenye hospitla nyingi na nimeshindwa kupona..sasa nikaona nijaribu mitishamba.anyway thanks
Kwa vile hujabainisha nini kinachokusibu inakuwa taabu kidogo lakini kama unatatizo ambalo ninalolifikiria [linakuta watu wengi sana lakini hawana ujasiri wa kusema] jaribu supu ya pweza. Wazee wetu wa pwani wamekuwa wakitumia supu hii na hadi sasa sehemu za Z'bar,Pemba,Kilwa,Mafia, mikindani bado inatumika sana tu.Jamani nani amewahi kutumia dawa inayoitwa ngetwa3 au ngoka11? Je ni kweli zinatibu vizuri kama ninavyosikia au uzushi tu.Je zina madhara yoyote?
Pole sana Nicko,be positive na Mungu atakusaidia afya yako irejee,kwa mitishamba be careful mingine isije ikakuongezea matatizo.tatizo ni kwamba nimeshatembea kwenye hospitla nyingi na nimeshindwa kupona..sasa nikaona nijaribu mitishamba.anyway thanks
thanks kwa ushauri kaka..ila tatizo ni kwamba nimekunywa sana dawa za hospital lakini bado hali yangu si nzuri.
Kwa huyu Mchina dawa zake ni kama chakula hivi ukinywa unakuwa umepona wakati wa matumizi ya dawa zenyewe lakini pindi unapomaliza hizo dawa baada ya kama wiki mbili hivi maumivu yanarudi upya kama vile hukuwahi kutibu huo ugonjwa kabisa.Nenda kwa mchina wa tabata aroma.
Vipi gharama zake ili kama mtoa mada ni MBANGAIZAJI kama mimi aweze kabisa kuandaa pesa ya kutosha kwenda hasije akaenda halafu akarudi hata hajamuona daktari.umewahi kwenda sino-tanzania, ni hospitali ya wachina iko sinza opposite na JJ bar, wana daktari pale mtaalam wa magongwa ya misuli. dawa zao naamini ni nzuri. nina ndugu yangu alienda kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa tofauti na wa kwako ambao dawa za hospitali za kawaida ulishindikana, na alipona katika muda mfupi. all the best