hizi ni dawa za wachawi wa kisabato, wayehova witness na waganga wa kienyeji wa kiislam, yaani mashehe wafuga majini. ukitumia tu, zina connection na kuzimu na shetani mwenyewe, hata kama zitakutuliza kidogo, mashetani yanakuwa yamekuweka kwenye record yao, wakati wowote yanaweza yakakutengua na kukutumikisha kama upendavyo. nawajua watu wengi walitumia hizo, hasa ile DFP ya meno, badala yake alienda kung'oa meno matatu mwaka huo huo.
angalia yule jamaa wa DFP, ni yule mwenye kipindi start tv cha "mahakama ya mungu" akitangaza dhehebu lake la kijehova pale, utashangaa. mtu hajaenda hata shule ya udaktari, anakwambia amegundua dawa. na anashuhudia kuwa ameonyeshwa na jehova wa ki kwake, na kwamba, ati alipokuwa mdogo wazazi wake walishawahi kumpeleka hadi wodi ya vichaa ya muhimbili, kwasababu waliona ana mauzauza. huyohuyo ametengeneza dawa ya DFP, watu wananunua na hawaponi wala nini. anakula hela tu.
kuweni makini na dawa hizi za wasabato, kama kina Dr.ndodi, wale wa ngetwa eleven, DFP, na wengine wengi wa alternative medicine. ni wachawi na maajenti wa shetani kabisa.