Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Status
Not open for further replies.
Natamani hii thead iwepo humu hata baada ya miaka miwili.
hapo tutajua kama ni bilionea au mashauzi tuu.
Nina uhakika baada ya miaka miwili huyo dogo atakuwa kama Mr.Nice.
 



hakuna kijana au biti atakaye kwenda kununua cd za mziki za huyo kijana kwahela yakd labda apewe bure.
 
Kuna mwenye data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire




Ukiwa na bilioni moja benki, ukaamua kila siku kula sh laki moja, itakuchukua miaka kumi

kumaliza! Sasa hebu waza na ufikiri tena! Huyo bwana kwa kuimba tatizo kwetu mbagala ndo

anakuwa bilionea?
 
bongo bwana eti mtu akiwa na tumilioni hata 50 tu twa madafu,tayari wanamwita tajiri ona sasa kasharobaro ka watu kanatuhela twa kununulia skin jeans,tayari wanakaita billionea mwe!!!!!


lol!....jamaniii!
 
Ka google maana ya billionaire kabla ya kuuleta utoto wako kwenye watu wazima..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…